Taja aina za sentensi zifuatazo kisha eleza muundo ujengao kila sentensi.

Question

(a) Maisha ni safari ndefu.
(b) Ukisoma kwa bidii utafaulu kwa kiwango cha juu.
(c) Mtoto aliyelazwa hospitalini ameruhusiwa kwenda nyumbani.
(d) Nitakuja leo ingawa nitachelewa sana.
(e) Alinunua madaftari lakini kitabu cha Kiswahili alipewa na mwalimu.

Leave an answer