Kwa kila tungo uliyopewa bainisha kielezi na kisha taja ni cha aina gani.

Question

(i) Darasani kuna utulivu mkubwa
(ii) Wanafunzi wanaimba kimasihara.
(iii) Mwalimu amerudi tena.
(iv) Nitaondoka wiki inayokuja.

Leave an answer