Katika kila sentensi andika neno moja lenye maana sawa na maelezo ya sentensi husika

Question

(a) Mtu anayechunguza uhalifu.
(b) Ng’ombe dume aliyehasiwa.
(c) Chombo cha usafiri kinachopita juu ya vyuma.
(d) Mti unaozaa matunda yanayotengenezwa kinywaji cha kahawa.
(e) Sehemu ndogo ya nchi iliyochongoka na kuzungukwa na bahari katika sehemu zake tatu

Leave an answer