Jaza nafasi iliyoachwa wazi kukamilisha methali zifuatazo:

Question

(i) Samaki mkunje…………………
(ii) ……………………njaa mwana malegeza.
(iii) …………………..hutanda na kuyeyuka.
(iv) Ajidhaniaye kasimama…………………
(v) …………………….usiilalie mlango wazi

Leave an answer