Kitenzi kikuu huweza kutumika sambamba na kitenzi kingine kukamilisha sentensi. Katika sentensi zifuatazo bainisha vitenzi vilivyotumika. Sentensi ya kwanza ni mfano:
(i) Aliyekuja atasafiri kesho.
TS T
(ii) Mgeni wangu amekwisha kuwasili.
(iii) Amina hakuataka kumuudhi.
(iv) Mafundi wangali wanashona viatu.
(v) Wataendelea kumsubiri hadi kesho. (vi) Gari lilikuwa limeharibikia mlimani Kitonga.
Leave an answer