Kwa kauli zifuatazo andika KWELI kwa kauli iliyo sahihi au SIO KWELI kwa kauli isiyo sahihi.
(i) Kazi ya fasihi ni moja tu na ni ile ya kuelimisha jamii.
(ii) Kiunganishi ni neno ambalo huunganisha dhana mbili tu.
(iii) Elekeza, shikilia, shikamana, maelekezo, mshikamano, tolewa, nitakutolea, ondokeni ni maneno yaliyoundwa kutokana na mnyumbuliko
(iv) Methali ni usemi wenye pande mbili
(v) Kitendawili ni aina ya fumbo lisilotumia lugha ya picha lakini hudai jibu
Leave an answer