Andika sentensi zifuatazo katika hali ya ukanushi:

Question

(a) Ameshiba sana.
(b) Watoto wengi wanaogelea.
(c) Mvua ilinyesha kwa wingi sana.
(d) Kijana anakula chakula kingi.
(e) Mimi nasoma polepole.

Leave an answer