Eleza dhima za mofimu “li” kama ilivyotumika katika sentensi zifuatazo:

Question

(a) Shamba letu li kubwa sana.
(b) Wlishelewa kurudi.
(c) Tunalifuatilia.
(d) Limeharibika.
(e) Shikilia.

Leave an answer